adplus-dvertising
Press "Enter" to skip to content

DOWNLOAD: Devotha Joseph – Wastahili mp3 (Video & Lyrics)

Screenshot 20221002 1317022

Wastahili Lyrics – Devotha Joseph

Loading…

About Songs

WASTAHILI ni wimbo wa ibada wenye nguvu na uvuvio wa Roho mtakatifu! Ukiwa na Lengo la kumpa Mungu ibada na kuwasogeza watakatifu mbele ya Mtakatifu, astahilie sifa zote zilizojuu ya fahamu na nje ya maneno ya vinywa vyetu!

Maombi yangu juu ya wimbo huu ni kwamba ukaishi vizazi na vizazi, Lakini pia ukazalishe matokeo chanya ya ibada ndani ya mioyo ya watoto wa Mungu. Mungu akahuishe moyo wa ibada unapotazama wimbo huu katika Jina la Yesu! Ufunuo 5:9-10

GET IT NOW

WATCH NOW

DOWNLOAD NOW

Spread the love